Vibanda vya "Wahaha" ni halali?


unajua mapenzi ya sasa hv ni pesa na wengi wanashindwa hivi labda nikuulize je kunauwezekano wa kuanzisha mahusiano mpaka ukafikia hatua ya kupata tendo kwa gharama 2000? lakini ukumbuke pale inawezekana, kumbuka kuna watu hawana kitu ambacho kinaweza kuwashawishi hawa wadada wa sasa na tamaa zao, tusijiangalie tu mimi na wewe kwaajili ya hv viusafiri vyetu tunapata hii huduma kiurahisi
 
ifm na mabibo ni hatare kipndi kama hiki mademu ni mfulio me huwanaenda ng'oa kwasana ambaye unabisha niPM namba zoke leo twende ukaone nang'oa kiulaini kwa kutumia gari la brooo wanajua me nipedeshee kumbe mtoto wa mjini
 

Tatizo jingine ni kwamba wenye kutengeneza sera na kuzisimamia ndo haohao wanaendekeza mambo hayo,
 

Attachments

  • index.jpg
    3.7 KB · Views: 445
swali la kwanza hao wa cbe ni wahaya? nyambaf nyie mnaofariji umalaya wa makabila yenu kwa kudai hao ni wahaya, mbwa we.

wewe unayenyimwa uroda na mkeo umeoa au umeolewa, mko wachache sana mlo.olewa km wewe
Pole. Wahaya ilikuwa zamani siku hizi ni makabila yote ila niknemu yao inabakia hivyo kwa kuwa wahaya ndio waanzilishi wa hiyo biashara. Unakumbuka ule msemo 'mgambire inafu?'
 
...kama hao wanajulika kuwa si tatizo! "tatizo kama unge kuwa hujui kama wanafanya biashara hiyo...!

"pabaya na pa-hatari zaidi ni; IFM, CBE, UDSM, UDOM... n.k"
'IKIFIKA JIONI WANACHUKULIWA NA WANARUDISHWA ASUBUHI'

Hatari sana
 

Eti amechoka na ukute mwanamke mwenyewe ni mwanamke wa nyumbani, wewe kutwa nzima unahangaika huko na huko kutafuta maisha yenu ukirudi anadai amechoka, amechoka vipi kutwa nzima alikuwa nyumbani? kwanini asilale hata masaa mawili mchana ili usiku asiwe mtu wa kuchokachoka? au alikuwa sehemu analiwa ndiyo maana kachoka?.

Wanawake bwana, Mungu atusamehe tu.
 

Chezea mwanamke wewe, NEVER TRUST A WOMAN!
 
Hivi ni halali kweli tukisema kuwa tunapambana na ukimwi huku tukiachia ujasiriamal wa kuuza miili ushike kasi? Vile vibanda hodi vya akina mama wanaojiuza vinavyoitwa vya Wahaya hatuvioni?

Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana.me ninakaa msasani na hapa jiran kuna hivyo vibanda, ndio wapo huru kufanya bness zao ,utaona wanaongea kihaya chao free na kuuza k zao. Everybod in street anajua sasa usinambie kuwa serikali ya mtaa haijui ,kama ni hivyo serikali haina macho
 
Umeongea ukweli mtupu. Sasa fanya mpango mkeo asome hizi points kimtindo bila kujua ni wewe uliyeandika ili meseji iwe sent kikamilifu. Wanakubali kuolewa halafu wanang'ang'ania kulala na chupi. Hii ni kinyume na haki za ndoa. Au mkuu tafuta ule wimbo wa "NALETA MASHITAKA KWAKO BABA PAROKO" halafu ufungulie hapo home wakati wife yupo na uhakikishe anausikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…