Jamani habarini za muda huu,samahani naomba kujua vibanda vile vya biashara (vya Chuma) kama vile huwa vinatengenezwa kwa shingapi?
between ngapi na ngapi??
Dah kumbe vinakula pesa ndefu hivi yaani ukiviangalia kwa haraka unaweza ukavidharau kumbe inataka ujiandae kwelikweli.
Laki 6 inakutoka na hapo bado hujaanza kufanya mihamala