S subz3r0 Member Joined Dec 7, 2011 Posts 13 Reaction score 0 Jun 30, 2014 #1 Tusaidiane kupeana taarifa za vibali vya pikipiki. Mtu yoyote anayo au kasikia au anajua kuhusu vibali vya pikipiki .. zitatoka lini au pikipiki zetu tusitumie zikae nyumbani ziendelee kuoza.
Tusaidiane kupeana taarifa za vibali vya pikipiki. Mtu yoyote anayo au kasikia au anajua kuhusu vibali vya pikipiki .. zitatoka lini au pikipiki zetu tusitumie zikae nyumbani ziendelee kuoza.
S subz3r0 Member Joined Dec 7, 2011 Posts 13 Reaction score 0 Jun 30, 2014 Thread starter #2 Hamna mtu?