Habari wajumbe,samahan ila nan anajua taratibu za kupata vibali vya kusafirisha mkaa vile vya temporary?najua ni Wizara ya Maliasili ila taratibu zikoje?
Waone pale wizarani ofisi karibu na junction ya Chang'ombe pale.
Watakupa ushirikiano mzuri. Kuna ishu nilienda kufatilia jamaa walinipa info zote makini na ushirikiano wa kutosha.