Hivi Silaha,mmezomilikishwa mnazitumia kuuzia sura kwa madem kwamba nyie ni usalama wa taifa au?
Zanzibar hatumiliki Silaha kwa watu binafsi,ila vibaka wakikomaa sehem basi baadhi ya watu wanajikusanya kundi na kuenda kulianzisha mpaka wanashika adabu,unless yale makundi makubwa ndio mbakodi na nyie kundi moja kutoka upande mwingine na kwenda kufanyizia uhuni kundi la vibaka eneo husika
We piga risasi mmoja tu watatia akili,watakuwa wanaogopa kila wanaemuona