JuaKali
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 776
- 118
Siyo vibaya ukaanza angalia License plate ya gari yako kabla ya kuondoka maskani. 2make story long short, vibaka walibadirisha plate number ya gari yangu na kubandika yao ya gari waliloiba, bila kujua asubuhi nimeondoka kasi kuelekea job police kaninimamisha kurun ile plate kagundua kuwa ni ya wizi, kuniuliza nikamwambia hili gari si la wizi, jamaa kang'ang'ania. Baadaye kacheck VIN kagundua gari si la wizi ila plate number ndo zimebadirishwa(SWAP). kanisomba mpaka kituoni bond $400.00, gari walili-tow kwenda kulichukua $180.00, kupata plate mpya $63.00 na bado next month natakiwa kwenda kuonana na judge. HIVYO BASI SIYO VIBAYA TUKAJENGA TABIA YA KUKAGUA MAGARI KABLA HATUJAONDOKA-usije kutwa na yaliyonipata!.