Wanajamvi naomba kuweka wazi wizi uliokithiri ndani ya stand ya ubungo! Kuanzia alfajiri hadi saa 5 usiku wasafiri , wasindikizaji wanakumbana na vibaka wakiwa kwa makundi.....wanaiba vioo side mirror na kuvunja magari yanayoegeshwa ndani ya stand , wasafiri wanaporwa sana..........kuna tatizo la usalama na taa ndani ya stand ! Mamlaka ipo kweli ? RC yuko busy kwenye media na matamko yasiyotekelezeka!
Hahaha hahaha hahaha dah umenichekesha sana mkuu wewe ni noumerUsijali, ngoja kwanza tuhakiki wakazi wa Dar na kazi zao, tumalizane na mashoga, ombaomba, bajaji na kuwapandisha walimu bure kwenye daladala, then tuitokomeze shisha kabla hatujavalia njuga hili tatizo lako dogo linalokusumbua. Polisi wetu wako bize na majukumu haya...
Ahsante kwa kutuelewa......
Kabla ya ujenzi wa ngazi za daraja palikuwa na kituo cha polisi pale stendi, cha msingi ni jeshi la kuimarisha polisi kuimarisha ulinzi na doria zifanyike pia taa ziwekwe mle ndani maana pana kiza sana hivyo kupelekea kushamiri vitendo vya kihalifu.Wanajamvi naomba kuweka wazi wizi uliokithiri ndani ya stand ya ubungo! Kuanzia alfajiri hadi saa 5 usiku wasafiri , wasindikizaji wanakumbana na vibaka wakiwa kwa makundi.....wanaiba vioo side mirror na kuvunja magari yanayoegeshwa ndani ya stand , wasafiri wanaporwa sana..........kuna tatizo la usalama na taa ndani ya stand ! Mamlaka ipo kweli ? RC yuko busy kwenye media na matamko yasiyotekelezeka!
Mkuu nimetoka ubungo kumsindikiza ndugu yangu yaani Ubungo ni giza tororo hivi kweli wameshindwa kuweka taa pale aisee! RC Dar hebu vamia siku moja pale saa 11 asubuhi uone maajabu.Wanajamvi naomba kuweka wazi wizi uliokithiri ndani ya stand ya ubungo! Kuanzia alfajiri hadi saa 5 usiku wasafiri , wasindikizaji wanakumbana na vibaka wakiwa kwa makundi.....wanaiba vioo side mirror na kuvunja magari yanayoegeshwa ndani ya stand , wasafiri wanaporwa sana..........kuna tatizo la usalama na taa ndani ya stand ! Mamlaka ipo kweli ? RC yuko busy kwenye media na matamko yasiyotekelezeka!
Wanajamvi naomba kuweka wazi wizi uliokithiri ndani ya stand ya Ubungo! Kuanzia alfajiri hadi saa 5 usiku wasafiri, wasindikizaji wanakumbana na vibaka wakiwa kwa makundi.
Wanaiba vioo, side mirror na kuvunja magari yanayoegeshwa ndani ya stand. Wasafiri wanaporwa sana. Kuna tatizo la usalama na taa ndani ya stand!
Mamlaka ipo kweli ? RC yuko busy kwenye media na matamko yasiyotekelezeka!