GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,450
- 127,624
kwanza I love this guy. Very handsome. Lovely accent. Sauti Sasa!
Kama hiyo haitoshi ona hiiView attachment 337638 View attachment 337639
how hot is this man right now!
Amebarikiwa baby anayekula kazi ya mikono yake.
Baby mwenyewe ndo huyuView attachment 337640
Wifi katulia jamani. Bonge la smile. halafu mimi pia member wa kuchanganya damu, you know?
View attachment 337641
Mnakaona kaBaby kadogo hako hapo? Ndo kanatolewa kwa Mara ya kwanza kuonja kipupwe cha LondonView attachment 337642
Kanaitwa baby Ioan
AaawwwwView attachment 337643
safi sana........sijamwona BBC swahili star TV kumbe alikuwa analea
Good, kweli inawezekana anafanya kwa kulazimika au amejifunza. Si unajua tunajifunza kila siku. Au mazingira, huenda angekuwa bongo angeajiri wasichana 3 halafu yeye angeendelea kupiga kazi.Alishawah kuoa mswahili labda tumuulize Rukia Mtingwa kama alikua spoiled hiv enzi zao
Sasa ww kila mtt na baba yake....itakuwaje?!at least huyo anaeweza hata kupiga picha na familia yake akaiweka kwenye social medias...
mizigoooo tena ya....
wanaume wangapi wako kama Salim. kwanza Salim angebadilisha na nationality kabisa, anawapa sifa za bure AMBAZO HAWANA wanaume wa kiafrika
anatumia title ya BBC kwenye mambo yake binafsi, quite unprofessional, plus kasimamisha ipad juu ya vikombe badala ya kuinunulia stand, ushamba wa kiswahili swahili...
...kaoshe papa kwanza basi ndio uje uendelee na huu ulimbukeni!
Nje ya mada, umeshawahi kuishi Ulaya au US/CANADA? Kuishi sio kupita.
mmoja wa kwako siyo?Sasa ww kila mtt na baba yake....itakuwaje?!
ndo shida ya kuoa mijike ya kizungu,haijui kupika kabisa,hukawii kuishia kuwa housegirl kufanya hadi majukumu ya mke ndani
Na inawezekana hata chupi za Mdosho nazo huwa anazifanyia utaratibu wa udobi wa kilazima. Bora nikaoe Kimanzichana tu gube gube langu shida yote hiyo ya nini?
...i still smell a rotten pu$$¥!!!wapiga debe wa wapi nyie?
aliyesema wanawake wa kizungu ni stress hamjamuona?
haya poteeni haraka sana.
thread ya Kina Salim hii. mnatuchafulia hewa