Nenda mwenyewe field kajifunze hukohuko!, ila kikubwa viazi vinapatikana kwa wingi vijiji vya barabara ya kutoka Njombe mjini kwenda makete kama;-Wikichi, Mgodechi, Igagala, Ulembwe, Usalule, Igelango, Makoga, Igosi, Kipengele, Mang'oto, Lupalilo, Mago, Ndulamo,Ivalalila na Ujuni nk ukienda izo sehemu hata fuso zako 20 chap unajaza, suala la bei hebu wadau zaidi waje!.