Viatu vya plastic (yeboyebo)

Viatu vya plastic (yeboyebo)

baby july

New Member
Joined
Oct 1, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Msaada nahitaji kufungua duka la viatu vya plastic maarufu kama yeboyebo kijijini, naomba mnielekeze wap naweza kupata viatu vya aina hiyo kwa bei nafuu kwa dar, pia naomba kujua kama kufungua duka kijijini ni lazima kufwata procedure za kuisajili biashara au naweza kuzifanya hata baadae.
 
Hapa Dar kuna watu hawajafata taratibu hizo sembuse kijijini
 
Back
Top Bottom