Wakuu wa Michezo habari,
Naomba Kujuzwa. Chimbo gani naweza pata viatu vizuri vya Michezo vya Jogging! Kama Nike. Unaweza Kunielekeza Mitumba pia sababu Viatu Vizuri na Bei nzuri vinapatikana Mitumbani Halafu Vinaoshwa vinapelekwa Dukani kuuzwa hili nimelishuhudia!
Sasa kila nikiwauliza jamaa wa Pale Mwenge kuwa wanatoa wapi viatu hawaniambii. Wanasema tuu kuna chimbo. Mwingine akanidokeza Karume..Lakini ukienda wewe hutavipata ni vikali mnoo ila sisi hapa tunakuuzia 60,000 kwenda mbele. Wakuu Chimbo gani naweza pata Viatu vya Jogging?
Nimepita Mwenge, Dar city Mall sijapata.
Nahisi na wao kuna chimbo wanaenda kuchukua.
Ahsante!