quadrupleA
New Member
- Apr 16, 2021
- 3
- 5
Wadau naomba ushauri kwa mwenye uziefu na bihashara hii, nawaza kuanza bihashara ya viatu vya kike vya mtumba nilikuwa na waza kununua baloo la fist grade UK na kuuza rejareja kwenye duka langu na online.
Ushauri please!
Ushauri please!