Nikweli mkuu Magereza wanacho kiwanda cha kutengeneza viatu vya ngozi nadhani ni gereza la karanga moshi au gereza la iringa kama sijakosea.Habari wana jamii.
Katika pitapita zangu nimekutana na habari inayosema jeshi la magereza linatengeneza viatu vya ngozi vizuri sana kwa ustadi mkubwa
Huku moshi.
Viatu hivi ni kwaajili ya maafisa polisi na hata wananchi wa kawaida.
HIVYO BASI KWA YEYOTE ANAYEFAHAMU MAHALI AMBAPO VIATU HIVYO VINAUZWA KWA HAPA DAR ES SALAAM NAOMBA ANIJUZE.
Mimi huwa napenda kutumia bidhaa bora zinazozalishwa ndani ya nchi yetu kwa kutumia malighafi zetu na nguvu kazi ya ndani ya nchi yetu. Wewe je!?
Hilo ni gereza la karanga Moshi lipo karibu na barabara ya Arusha-MoshiNikweli mkuu Magereza wanacho kiwanda cha kutengeneza viatu vya ngozi nadhani ni gereza la karanga moshi au gereza la iringa kama sijakosea.
Ujuaji mwingine sio dili we wq mkoani unalijua jiji kweli njoo tuseme kuhusu kilimo wa mkoani siaiposta hakuna duka hilo hata kariakoo