Viatu bomba vya mitumba

Sabra said

Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
49
Reaction score
9
Habari wana jf kwa mahitaji ya viatu bomba vya mitumba kwa wakina dada plz tuwasiliane kupitia namba 0659-991891 kwa bei nafuu sawa sawa na bure kiatu unavaa peke yako town.nifollow insta viatu bomba vya mitumba.
 
Ningekupigia ila jina lako limeniharibia mood,kila la kheri,
 
Naish dar ila kwa sasa npo nje ya dar bt tukielewana nakutumia mzgo
 
si uweke picha..., hizi teknolojia zipo ili zitumike, mfano hizo camera za kwenye simu sio mapambo
 
Mbona tangazo lako liko nusunusu best?

Wenzio wanaweka picha ya kitu unachokiuza na ukuweka bei yake mpaka tuulize best?

Ila usijali tuwekee picha ya hivyo viatu basi
habari wana jf kwa mahitaji ya viatu bomba vya mitumba kwa wakina dada plz tuwasiliane kupitia namba 0659-991891 kwa bei nafuu sawa sawa na bure kiatu unavaa peke yako town.nifollow insta viatu bomba vya mitumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…