englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,209
Duh huku Bongo hakuna? Kuna mtu nataka nimkomoe aiseee
hahahaaaaaaaaaaaaaaa,hii hatariiiiiDu, huyu akipatikana bongo mtu unatembea nae kwenye begi, ukiotea dili la ghafla unamtoa akungate.
wanaume watapendwa kung'atwa na huyu buibui aisee
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa!haupitwi?Kumbe ww ni wa kike?