Habari hii ni ya kweli,
Jamaa mmoja jijini Mwanza alikutana na kisa hiki akapoteza maisha .
Huyo jamaa alikuwa na dem wake akawa hamgongi kisawasawa kama ilivyokuwa mwanzoni, huyo dem akamtania kwamba ana mpango wa kumuacha kwa kuwa nguvu za kiume zimepungua - si kama zamani. Jamaa kwa kujitutumua akaamua kununua vidonge viwili vya viagra na kumeza, akamkaribisha huyo dem wake waingia faragha wakaanza kuhudumiana, ile kufika kileleni akaishiwa nguvu kabisa, akamwambia dem wake amvalishe nguo - apige simu kwa jamaa yake aje amkimbize hospital,
Kweli rafiki yake alipofika wakambeba na kumkimbiza Bugando, kufika hospital kumbe mshkaji kaishakata roho. :help:
Angalizo: Viagra bila ushauri wa Dr.ni noma,
Mimi na mke wangu mpendwa huwa tunatumia viagra kumkomoa mwaJ na Mwita Maranya, maana kila siku wanatuletea mapaka shume yao ya chuma ulete, na sisi kwa kula mikuku tu hatujambo, basi, huwa tunaweka viagra kwenye mipande ya mikuku na kuwapa paka wa mwaJ, wakifika tu mlangoni kwao wamekauka.
Utanielewa tu, hebu jaribu kutumia njia ndefu kukokotoasijakuelewa
Kwa hiyo jamaa alikata roho mtarimbo ukiwa bado unatafuta signal...heheheh!!!
Tafadhali unaweza kueleza kidogo nini kinatokea hadi inapandisha pressure?Na kama hiyo ni kweli,huo ushauri wa kumpa maji mtu akiwa na pressure una lengo gani hasa?Nijuavyo mimi,huyu aliyeigundua dawa hii alikuwa akifanya utafiti wa dawa ya kushusha pressure na ndipo ikaonekana ina side effect yenye faida upande wa pili hasa kwa wenye matatizo ya erectile dysfunction.Sasa leo tena nasikia kitu tofauti!Pia kwa mtu mwenye pressure juu(hypertension) haishauriwi ikitokea hivyo apewe maji badala yake inashauriwa apewe dawa za kusaidia kupunguza hiyo pressure ambapo dawa mojawapo kati ya hizo ni ile ya kupunguza maji mwilini mf lasix.Nadhani kama alimeza vidonge viwili vyenye 100mg @ kimoja basi atakuwa amejizidishia kiwango(overdosage)Viagra au nisema madawa ya kuongeza nguvu yanapandisha presha sana. Kabla hujatumia unatakiwa uonane na daktari afanye recommendation. Kuna nyingine hata pombe huruhusiwi!!! Ila alitakiwa alipoona anapoteza nguvu angempa maji mengi ya kunywa!!!!! Ya kawaida si ya baridi.
Tafadhali unaweza kueleza kidogo nini kinatokea hadi inapandisha pressure?Na kama hiyo ni kweli,huo ushauri wa kumpa maji mtu akiwa na pressure una lengo gani hasa?Nijuavyo mimi,huyu aliyeigundua dawa hii alikuwa akifanya utafiti wa dawa ya kushusha pressure na ndipo ikaonekana ina side effect yenye faida upande wa pili hasa kwa wenye matatizo ya erectile dysfunction.Sasa leo tena nasikia kitu tofauti!Pia kwa mtu mwenye pressure juu(hypertension) haishauriwi ikitokea hivyo apewe maji badala yake inashauriwa apewe dawa za kusaidia kupunguza hiyo pressure ambapo dawa mojawapo kati ya hizo ni ile ya kupunguza maji mwilini mf lasix.Nadhani kama alimeza vidonge viwili vyenye 100mg @ kimoja basi atakuwa amejizidishia kiwango(overdosage)
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
kuna Siku mshkaji alinishawishi nikatest kidonge kimoja...dah..masikio yaliwaka moto,kichwA kiliuma mbaya...mwisho Wa siku nilihailisha game....kuanzia Sikh hiyo sitaki kusikia kabisa hay a makitu...
dah viagra viagra ifike mahali tutambue umuhimu wa kurudi vijijini kwetu walee wazee wana mambo mazuri tunadharau tu.
asante kwa ufafanuzi ila hivi inakuwaje wanaume wengi wanatumia madawa ya kuongeza mwili ili hali amridhishe mwanamke wa nje? Wakati mwingine wake zetu wanachoshwa na uharamia wetu na wakimwomba mungu analipa vilivyo. Tubadilike tuachane na vifo vya aibu.