uso wako una mafuta,si maanishi utafute muwekezaji,bali usijaribu kupaka mafuta usoni,uwe unakunywa maji sana,na uwe unaosha uso kwa maji ya uvuguvugu,na pia chemsha maji weka kwa beseni,inamisha uso karibu na beseni mvuke ukupate usoni wakat huo ujifunike kwa kanga au shuka,ili mvuke usipotee,baada ya hapo utatoka sana jasho hiyo inasaidia sana kama uso wako ni oil