Vga & hdmi

mkulima maskini

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2015
Posts
254
Reaction score
50
Guys natafuta câble yenye output(kutoa) ya VGA na input (kupokea) ya HDMI....very urgently
 
Una desktop? Tafuta graphics card utapata power zaidi kwa bei rahisi zaidi.

Cable zipo ya bei around 80,000 hadi 150,000. Pitia morogoro road mjini maduka mengi zipo. Kvd pia zipo kwa 120,000

Ila ukumbuka unahitaji vga to hdmi converter cable na sio cable tupu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…