VGA drivers: Msaada

Infopaedia

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
1,234
Reaction score
1,503
Wakuu nina Laptop Toshiba Satelite A70. Natafuta vga driver. Naomba kama kuna mwenye nayo anipatie. Najaribu ku-download lakini tatizo ni connection yangu. Download inakata kabla ya kumaliza. Kibaya zaidi inasema download complete wakati haijadownload file zima. Au kama kuna tabs za ku-tweak ili i-download file zima, basi naomba maelezo. Natumia download manager ya kwenye Firefox 12.0.
 
Kama inawezekana si uweke Window7?, maana huwa iko full hadi driver zote za mother body.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…