VEVO wamemtimua diamond hauzi

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,711
Reaction score
5,641
Diamond baada ya kufukuzwa vevo amerudi kupost video zake kwenye account yake ya kawaida. Vevo wamemtimua. Wanataka wanamuziki wazuri wa kimataifa kama wizkid na davido. Pia hawataki msanii asieweza kuimba kingereza. Sasa diamond anashuka wenzake kina wizkid wanapanda.

Ali kiba yeye ndo alishajifia kitambo. Naona wawakilishi wa tanzania kimataifa wamebaki wawili tu rayvanny na hamonize
 

Wote hao hamna kitu wakacheze mdundiko
 
Chuki kama hii haimuumizi unaemchukia...inakuumiza zaidi wewe binafsi,furaha unayopata kwa kunuombea mwingine mabaya huyo ndio mchawi wa hali duni yako.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…