BVM na MD ni disciplines mbili tofauti. Unachagua mwenyewe nini unataka kusoma kulingana na career ambitions zako. Suala la miaka kulingana halina nafasi. Maana shahada nyingi nchi hii ni miaka mitatu mitatu, so how do people choose one or the other?Kinacho ni boa n kusoma veterinary miaka mi 5 sa iyo miaka c ni bora nsome MD
AsanteeeeLevel ya difficulty huenda zikawa sawa. Masomo karibu ni yale yale ni application MD ni tiba ya binadamu na BVM inalenga zaidi wanyama, lakini kuna somo kama Public Health ambalo linafundisha kutumia elimu ya veterinary kuboresha afya ya jamii hususani magonjwa kama Rift Valley Fever (Homa ya Bonde la Ufa). Strategy hapa ni kuzuia magonjwa yasitoke kwenye wanyama kwenda kwa binadamu. Kwenye kufundisha na utafiti upande wa binadamu utakuta madakitari wa veterinary wanafanya kazi huko (angalia Muhas, CAHUS na St Francis na NIMRI). Tofauti nyingine ni kuwa wanyama hawaongei lakini kwa ujumla bina-adamu huongea-hii huleta changamoto zaidi. Lakini kwa ufupi kasome ile unayopenda kwa sababu zako.
BVM hawezi kuwa dakitari wa binadamu and vice versa. Hairuhusiwi unless urudi tena shule usomee hiyo fani nyingine. Wanaingiliana kwenye specialised non-clinical subjects such as histology, parasitology etc ambapo unaweza ndani ya miaka 2 ukapata masters in a vet school or medical school au phd level.Kwan MD ni muda gan???
Afu MD hawezi kuwa datari wa mifugo ?but BVM anaweza kuwa dactari wa binadamu
Kwa hiyo avator yako (skeleton), nahisi wewe uko ndani ya hiyo kitu. Utamaliza tu work hard.Nimeota nasoma BVM, aaah ngoja usiku mwingine ufike niote kama nitamaliza semista zote kumi au nitaishia popote pale
Kwa hiyo avator yako (skeleton), nahisi wewe uko ndani ya hiyo kitu. Utamaliza tu work hard.
Diploma ya veterinary medicine umeisomea wapi? SUANina diploma ya hiyo kitu na nimeomba BVM, am waiting. Ila nashukuru in advance kwa kunipa moyo.
Diploma ya veterinary medicine umeisomea wapi? SUA
Una GPA yangapi labda?mana huwa Ina competition sana na OLEVEL ulipata division ngapi?