Veteran Gudjohnsen earns Iceland place for Euro 2016

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
127,873
244,426
Mkongwe huyu mwenye miaka 37 amejumuishwa rasmi kwenye kikosi cha wachezaji 23 wa nchi hiyo kwenye michuano hiyo .

Aliwahi kuchezea Chelsea na baadaye akaenda China lakini hivi sasa ni mchezaji wa Norwegian club Molde .

Tusubiri tuone uwezo wake , je mpira ni sawa na baiskeli ? Kwamba ukijua kuendesha ndio umejua milele ?
 
Tatizo ni afya njema na mwili kuwa tayari kufanya kazi. Huyu inaonekana anajitunza na pia atakuwa mhamasishaji mkubwa kwa wachezaji wadogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom