KisiwaChaJagwani
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 407
- 699
Nafikiria Wazo la Serikali kusema mfumo wa kupunguza ukosaji wa ajira kwa wasomi kuwa wengi wenye faini za nadharia zaidi kuleta hoja ya wasomi hao hao waende kupata fani mbali mbali zinazoweza kuzalisha ajira za kujiajir ila wakumbuke wenye fani wakiwa wengi pia wataleta tatizo hilo hilo kama kutatua tatizo bora serikali iandae fursa nje ya nchi kuwezesha kupata ajira nje ya Tanzania