kama ndo unaanza unapaswa kusoma udereva wa awali ada ni 150000-180000 pia unaweza kupitia pale chang'ombe utapewa joining instructions bure. kama unataka udereva uwe ndo ajira yako, baada ya kumaliza hayo mafunzo utapewa cheti kisha utapelekwa usalama barabarani makao makuu kwa ajili ya mtihani wa mwisho ambao ukipita utapewa leseni daraja d ambalo linakuruhusu kuendesha magari madogo yasio ya biashara wala mizigo unatakiwa ukae na hii leseni miaka mitatu ndipo uweze kusomea magari makubwa ya abiria au mizigo......swali lingine