ID yako ya zamani ilikuwa ni ipi Tayana😅, huu uzi umejaa characters wa zamani kama wote, sadly that wengi wameacha kutumia ID zao, sijui watakuwa wapi. Nyakati hupita kama upepo, 2013 ni juzi tu