Wakuu naomba msaada wa namna ya kuchagua gari mzuri. Nimeiona gari aina ya Volkswagen kwenye mtandao nimependa kuinunua. Lakini pale kwenye dashboard kunaonekana vitaa viwili vya manjano na kimoja chekundu vinawaka. Je gari ni mbovu? Wajuzi wa masuala ya gari mnisaidie tafadhali.