Verossa inauzwa

Mkuu Gamaha mi nalitaka hilo gari tafadhali kwa hiyo bei,nilikuwa nasoma kama guest imenibidi nijisajili, ntakupataje sasa.
 

Nilianza huko mkuu nikakosa wateja so hapo hapo kwenye sita ndio nataka
 
Mkuu Gamaha mi nalitaka hilo gari tafadhali kwa hiyo bei,nilikuwa nasoma kama guest imenibidi nijisajili, ntakupataje sasa.

Izdoli nimekutumia namba yangu PM nitafute tufanye biashara tafadhali
 
Nazidi kupunguza bei jamani mwenye nazo alete hela nikajenge heshima bar
 
Make: 2001
Engine: 1G VVTi, 2000 Beams
KM: 119,698
CC: 2000
Accident: Taili ya kushoto iligonga
Bei,5,500,000
Exemption inaisha mwezi wa kumi

Maelezo ya ziada tazama picture,ni PM kama unataka kuongea biashara

Mkuu ebu nichek pm
 
Sale sale sale jamani bei ya kutupa ha ha 5m cash chukua mzigo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…