Verified blue tick on instagram

absamb

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Posts
546
Reaction score
451
Wakuu mwenye ujanja wa kuweka verified blue tick on instagram,aje hapa atupe maujanja
 
Instagram ndo wana verify mtu ambapo wao hujiridhisha na Mchango wa Huyo Mtu katika Jamii Makundi ambayo Huwa verified haraka ni

Wasanii (Musician and Movie Stars)
Wanamichezo( Tenesi, Football, Boxing, Marathon Kama akina Bolt.

Kajamba Nani Huwez kuwa Verified hivi hivi lazima uwe Fulani Kwanza Kwenye Jamii ili watu wasikuchanganye wana Ku verify
 
Ukiwa nayo hiyo tick inakusaidiaje?je kuna mrahaba unapewa,
 
me naweza lakini hiyo tick inakua inaonekana kwako tu mtu mwingine akikusearch haioni kwahyo utakua unaiyona we mwenyew na ukilog-out tu hiyo verification icon inaondoka.... it's easy kuiweka lkn inabid utumie PC kwa urahc zaid sio cm
 
Kuna video ipo youtube ikielezea jinsi unavyoweza kuverify japo sija jaribu!
Ni kwel huyo jamaa mwenyewe ukimsearch insta hana hako kadudeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…