Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
ni herufi 3 za mwisho nyuma ya card
mbona haraka bro. Tusiojua hili tuko wengi nakuomba unifundishe hatua kwa hatua. Usiudhike tafadhali. Nikitaka kulipia kwa kadi nifanyeje?
ni herufi 3 za mwisho nyuma ya card
Hiyo ni issue tofauti kabisa. Hii ni added security katika bank Fulani Fulani, Mfano nikitumia Bank of America debit/credit card zinaenda thru bila kuuliza mambo mengi lakini nikitumia bank Midwest (Bank ndogo) kununua kitu cha zaidi ya $300.00 online wataomba hizo VISA Verification - Kitu kinachofanyika katika hiyo process inafungua website ya bank yako, inakupa option ya ku-login kwenye bank yako login zikienda thru ndo umekuwa Verified na transaction inakamilika.ni herufi 3 za mwisho nyuma ya card
Mkuu nimejaza Page ya kwanza 3 SC,card no,expiry date na Jina
page ya Pili wakanambia wanataka ku-confirm kama hii Card ni ya kwangu nakuzuia Unathorized Online transacts hivo inabidi nijaze Passwd ya VISA VERIFIED nikajaribu hizo 3 sc wakazikatalia
Kwa chini wakasema Forgot Password nikabofya hapo nikajaza Security codes na box la Pili wakaomba "Card no and verification Code"
Nikajaza Card no wakakataaa mara ya Tatu nikaja ile code wamenitumia CRDB kuactivate acc yangu for online transaxn
Meseji niliyopata ni hii hapa
View attachment 112463
Habari za majukumu wana jukwaa
Leo hii nilikuwa nanua kakifaa fln online bila kutumia PayPal i.e kwa kutumia Card no. security code,na Jina la mwenye kadi bila kusahau Expiration dei ya card.
Lkn niliposubmit next step wakaniomba Verified by VISA passwd sasa swali langu au shida yangu ni je?
1.Hiyo kitu ni nn?
2.Na je ni sawa na ile ninayoitumia ATM Mashine?
3.Au mpaka uwe umefanya registration kwa hawa jamaa https://verified.visa.com/aam/activation/landingPage.aam
Mpaka uwe umejisajili na hao paypal lakini mkuu kuwa mwangalifu sana hayo ma site mingi wana ghana wawetengeneza kuiba credit card infomation na kuzitumia wanavyo taka wao kwahiyo kuwa makini sana hivyo vicent vyako utavikuta vyote vimekwenda na maji