Wanawake ni viumbe wanaaongoza kwa kuhangaika sana kwenye maisha haya Hasa kipindi cha ujana kwa mambo yasiyokuwa ya msingi kama urembo/ Uzuri. Akili yao Huwa inahama kabisa na kujiona kama wanaishi dunia tofauti na wengine.
Natambua kuna wachache kati yao ni exception.