Vending Machine za Japan

Tokyo40

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
2,065
Reaction score
1,926
Ulaya na Marekani, unaweza kununua soda katika vending machine.

Japan, wanauza vitu vingi zaidi kwa kutumia vending machine.
Haihitaji msaidizi, hamna wizi.

Vending machine ya kuuza soda. (USA)



Ya kuuza chupi za kike



Ya kuuza kamba



Ya kuvua samaki



Ya kuuza mwamvuli



Ya kuuza mayai



Ya kuuza betri



Ya kuuza tai



Ya kuuza porno magazines

 
Ya kuuza bia



Ya kuuza magari (pamphlets only)



Ya kuuza vinywaji tofauti



Ya kuuza vyakula

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…