Heshima wakuu!
Naomba na natafuta exporter anayepeleka au aliyewahi kupeleka matunda na mboga kutoka Tanzania kwenda UAE,nimepata soko nataka kushirikiana nae.
Napatikana kwa email ^ rakeyuae@gmail.com
Natanguliza shukurani.
Sorry ila jaribu kuongea na TAHA wao ndio wanafanya pia export ya vegetables wanaweza kupa wakulima wa uhakika au kukupa njia za kulikamata soko vizuri