VB code to web-based converter

VB code to web-based converter

Landway

New Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
4
Reaction score
0
Lengo ni kutengeneza program ambayo itakua inabadili vb code kwenda kwenye webbased code na kinyume chake.

Kwa mfano;

VB Code

Private Function Add()
dim a as integer
dim b as integer
dim c as integer
a=10
b=30
c=b+a
End Function

PHP code

Function Add()
{
$a=10;
$b=30;
$c=$a+$b;
}

Na content ya vb form ipelekwe kwenye HTML tags.
Naomba michango yenu jinsi ya kufanya.
 
Hivi visual basic programming kwenye real world ni applicable wapi
 
Lengo ni kutengeneza program ambayo itakua inabadili vb code kwenda kwenye webbased code na kinyume chake.

Kwa mfano;

VB Code

Private Function Add()
dim a as integer
dim b as integer
dim c as integer
a=10
b=30
c=b+a
End Function

PHP code

Function Add()
{
$a=10;
$b=30;
$c=$a+$b;
}

Na content ya vb form ipelekwe kwenye HTML tags.
Naomba michango yenu jinsi ya kufanya.

hapo inamaanisha kwamba unataka kutengeneza compiler.conversion inakuwa rahisi kidogo for languages that are in the same levels of abstraction,eg c#,c c++,vb, vbscript.hiyo pia inawezekana,japo itakuwa complex,ni idea nzuri,hakuna kinachoshindikana ukiamua,ila inabidi ufanye some deep research.
 
Lengo ni kutengeneza program ambayo itakua inabadili vb code kwenda kwenye webbased code na kinyume chake.

Kwa mfano;

VB Code

Private Function Add()
dim a as integer
dim b as integer
dim c as integer
a=10
b=30
c=b+a
End Function

PHP code

Function Add()
{
$a=10;
$b=30;
$c=$a+$b;
}

Na content ya vb form ipelekwe kwenye HTML tags.
Naomba michango yenu jinsi ya kufanya.

hii kitu ni ngumu sana. Syntax ya vb na php ni tofauti kabisa.Sio features zote zilizopo vb zipo kwenye php & viseversa. VB ni imebase kwenye Windows application akati php ni web based. Ntakupa mfano. Project ya Visual Basic 6 ni ngumu kuiconvert kwenda Visual Basic 2008,2010 au 2012 utapata errors nyingi sana.Sasa kama MS wameshindwa kuweka compatibility nzuri kotoka vb 6 kwenda vb 2012 wakati syntax zinaendana ndo hapo napata wasiwasi wa kuconvert vb kwenda php.
 
kama unajua kutumia xml, andika va program ambayo itatumia xml parser ili uweze kusubstute keywords za vb by php keywords.
NOTE: xml itakusaidia kama database kustore hizo declarations and the keywords
 
Inabidi uandike parser, yaani program itakayoisoma file ya vb kisha kuigeuza kuwa php kwa kutumia rules fulani, unaweza kuiandika hiyo parser kwa kutumia vb yenyewe. So utasoma text file ya code ya vb, e.g. ukikutana na line yenye structure ya "<access level> Function <name> (<parameters>)" unajua huu ni mwanzo wa function na unachukua kuanzia hapo mwanzo hadi mwisho wa function "End Function".

Kwa hiyo kazi yako ni ku indentify code ya vb inasema nini kisha kuigeuza kuwa php. Hili unaweza kufanya simply kwa kutumia if statements au jaribu kuangalia regular expressions kufanya pattern matching.

Same kwa ajili ya GUI ila hapa panakuwa pagumu, maana format ya layout file za Vb.net (Win forms) ni complicated sana.

Kuna vitu ambavyo havina translation kama program yako ilikuwa imetengenezwa kwa ajili ya windows specifically, ila functions ambazo ni business logic sidhani kama kuna ambayo inashindikana technically kuandikwa kwa PHP.
 
Nashukuru kwa michango yenu, nitawapa maendeleo na baada ya wiki moja nitaanza kufanya atachments za exe files module wise ili muone progress. thanks.
 
Back
Top Bottom