Kwa watu wa Pwani hilo ni second CHOICE.... haina tabu inakubalika kiwtamaduni ( nchi nyingi zenye mwambao/bahari huvaga hivi km: Indonesia,india,Yemen,Vietnam,Thailand,Singapore, Malasyia,Eritrea,Somalia,Brunei nk)
Bravo kwa ZanzibarFeshen !! Vijana wamependeza .