VAR yaibukia Kenya kwenye ndondo!

netein

Senior Member
Sep 20, 2019
177
250
TFF na bodi ya ligi nadhan ni wakati sahihi wa kwenda Kenya na kujifunza ili hii tekinolojia ije iwekezwe kwenye ligi yetu.
Screenshot_2020-12-30-13-44-25.jpg
IMG_20201230_134404.jpg
IMG_20201230_134359.jpg
IMG_20201230_134354.jpg
 

Gwele

JF-Expert Member
Jun 7, 2016
1,120
2,000
Naona refa anaitwa kwa redio call ambayo refa anaweka kwa nyuma na akiongea uwanja mzima unasikia anaambiwa nini
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom