Vanessa

kwanini watu wenye vidoti huwa wanakuwa wazuri sana?karibia wote niliowahi kuwaona huwa ni wazuri.
 
Kumbe nae ana kidot haya tumemuona ila tu ungetuwekea na tumbo Flat ebu fanya hivyo maana ndo nasikia anaongoza kwa kuwa na Tumbo flat
 
Neema za Allah vipi? Zimo? Sura hata kwa mchina inapatikana ati!! Sheikh mie nataka nione Neema za Allah tu
 
Napenda sana anavyoimba huyu dada.Kwa wanamuziki wa tz kwangu mie huyo ndio my number one
 

Alikupiga kibuti au?
 
Last edited by a moderator:

MR.CONFIDENT
umeandika kwa hisia sana.
 

Daah anafanana na demu wng wa sasa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…