Vanessa Mdee aachiwa wimbo mpya ''Kisela''

Mapenzi ya juma jux yanamtesa sana huyu manzi, anyway wanaume wa dar mmejitahidi mpk mtoto wa kipare analalama hivyo.
 
Mi nakapenda haka kadada hakanaga shida mtu.
 
Sawa

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Hii ngoma ndio ya mwaka 2017....
Mpaka ss hivi hakuna ngoma kali kama hii..

Vanessa ndio msanii wa kwanza kuitendea haki collabo ya kimataifa..

Hii ngoma sio ya sayari hii

Sent from my SHV-E330L using JamiiForums mobile app
 
Hii ngoma ndio ya mwaka 2017....
Mpaka ss hivi hakuna ngoma kali kama hii..

Vanessa ndio msanii wa kwanza kuitendea haki collabo ya kimataifa..

Hii ngoma sio ya sayari hii

Sent from my SHV-E330L using JamiiForums mobile app

Duu..hapa ndio naamini kila mtu anapenda kutokana na yy anavyoona...Mkuu mimi hii ngoma sijaikubali kabisa [emoji3]
 
P square wenyewe walishafulia na Vanesa nae hamna lolote wameshirikishana pwagu pwaguzi. Nimedownload video yake nikaifuta on the spot

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…