Valentine yangu kwenu wana jamiiforum

Valentine yangu kwenu wana jamiiforum

MO11

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
19,698
Reaction score
42,013
11002604_350085755198043_7864675193188477923_n.jpg

Honey Faith na miss chagga hebu gawa vinywaji

utafiti apewe kreti mbili
mshana jr ni mnywaji mzuri tu apewe kreti tatu
Mr Rocky mpe kreti moja na nusu
NAPITA apate mbili
BAK mtamsikiliza anakunywa ngapi
Kibo10 aliniagiza moja
Asprin mpe kreti tano ni mzowefu sana wa miaka isiyopungua 20 wa hii kitu

zitakazo baki kila mwana jf apate angalau moja
mimi utaninunulia soda tu ya fanta tuburudike
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Shukrani Mkuu MO11, waambie hao warembo waniwekee chupa nzima ya nyagi ila wasiifungue maana niko busy kwenye dancing floor nafanya vitu vyangu 🙂🙂

11002604_350085755198043_78646  75193188477923_n.jpg

Back
Top Bottom