Valentine wangu huyu hapa!!

nilijiandaaa kumsubiri ...... anipeleke kwa babu , lakini niliambulia kudanganywa kwa wine hatimaye nikaanza kujibembeleza kwenye godoro si mnaniona wenyewe au. nilipiga pamba za valentine
 
teh teh teh, nilikua naiona ndotoni tu....hivi imeshapiat au ndio tarehe 29 mwezi wa pili???
 
Ilikuwa ni kama :roll::roll: Bora imepita
 
Mi nlisherekea peke yangu bcoz nilimsubiri atoke kwao aje gheto lakn ilipotimu saa 10 jion simu yake haikupatkana!
Nikajua nshaibiwa...!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…