Valentine na Afrika

Reuben 26

Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
65
Reaction score
59
Habari ndugu ni matumaini yangu mko poa pia poleni kwa uchovu wa jana hasa mliolewa sana na ambao mlikua mkila tunda la mti wa kati poleni kwa kazi kubwa mliyoifanya okay niende kwenye mada kwanini valentine watu wamegeuza ndo siku ya kufanya dhambi zao ?

Kama kungekuwa na takwimu tungejua ni watu wangapi jana walipata ukimwi na wengine walipata mimba nje ya ndoa na hata wengine wapo.

Hospital kwa ajali zitokanazo na ulevi kisa tu ni valentine kwani ni lazima kusherehekea hiyo sikukuu hasa Afrika ifike hatua tulinde utamaduni wetu sio kila kitu tuige kwao mbona mbina hawasherehekei kote duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…