IKiwa ni wiki ya kumbukizi ya siku ya wapendanao, hivyo naomba kwa ufupi zawadi ya kumpa mrembo wangu ( penzi jipya). Karibuni maoni na mapendekezo yako ni muhimu
nb: penzi jipya mambo yasiwe mengiπ
IKiwa ni wiki ya kumbukizi ya siku ya wapendanao, hivyo naomba kwa ufupi zawadi ya kumpa mrembo wangu ( penzi jipya). Karibuni maoni na mapendekezo yako ni muhimu
nb: penzi jipya mambo yasiwe mengiπ
Nenda nae mahali mle chakula Kisha kafanyeni mapenzi kwa nguvu zenu zote hiyo ndio kumbukumbu mwanamke atakumbuka ikibidi mpe na mimba na jersey Moja nzuri ila isiwe common basi