Wanajukwaa,
Mimi ni mtanzania mwanaume mwenye miaka 37. Nina mpango wa kwenda South Africa kuosha macho.
Suala langu naomba kwa mzoefu anipe gharama ya nauli ya kwenda na kurudi na pesa ya kukaa kule kwa siku saba, preferably kwenya gest za kawaida (yani zenye ubora kama wa gest za bongo za elf 20 au 25).
Pili kwa wale wadau wa mambo yetu wanaweza kunisaidia Ambiance na la Chaz za kule.
Thanks in advance.