Ndugu yangu unamtafuta mwajiriwa au mstaafu wakati graduate wapo mtaani hawana kazi? Toa kazi kwa vijana ndugu na mungu atakubariki
Nina Tafuta mzoefu wa kujaza Tender Documents za taasisi za serikali,awe ameajiriwa/mstaafu nitamilipa per document. Itakuwa kama part time kwake.
Mawasiliano yangu ni:
+255652715232
(chriss@equpointproperty.co.tz)
Sure! Na kama hofu yake ni ufanisi elimu ya hiyo kitu (documents) itachukua mda gani mtu kuielewa? Think again mkuu.