Vacancy - Administrative Assistant

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,837
2,000
imerekebishwaaa nini wakati deadline yake mwisho mwezi wa 4 jaman mnapokuwaa mnapost huwaa hamsomi au
Ukiona tu kitu muhimu kabisa kama hicho kinakosewa jua hata hao waliokiandaa nao akili zao zina makosa makosa / ukengeukaji huo huo Mkuu hivyo wala usijisumbue kuomba.
 

Grand

Member
Sep 22, 2011
30
95
kindly download the attachment for details and send your CV only (No attachments please) before 16.06.17
 

Maserati

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
11,615
2,000
Wajiajiri wenyewe, ndio maana walifundishwa Ujasiriamali... Ukisema usubiri ajira tuu, utajikuta unafubaaa...
Wajiajiri unatoa wewe mitaji??? Ishu sio kujiajiri,wengi wanaweza kujiajili tatizo mitaji ya kuanzishia kitu cha kujiajiri. Sio tu mnakomaa jiajiri,mnafikiria out the box mkafahamu reasons watu wanasubiria sana ajira than kujiajiri?
 

Ethical Ninja CEH

JF-Expert Member
May 16, 2011
3,718
2,000
Wajiajiri unatoa wewe mitaji??? Ishu sio kujiajiri,wengi wanaweza kujiajili tatizo mitaji ya kuanzishia kitu cha kujiajiri. Sio tu mnakomaa jiajiri,mnafikiria out the box mkafahamu reasons watu wanasubiria sana ajira than kujiajiri?
Sasa ndugu yangu, endapo mtu kwa miaka mitatu mtaani hana ajira, unafikiri solution ni kuendelea kusubiri kazi au ajira ?

Ni kweli mitaji ni issue, lakini mtu unawe anzia na kile kidogo tu ulicho nacho. Kuliko kukaa mtaani miaka nenda rudi. Kuna watu wameanza na mitaji ya elfu 50 ... Mtaji sio lazima uwe milion. Tatizo wengi wetu tunashindwa kukubaliana na hali zetu za kimaisha.

Kwa sasa hali ya ajira Nchini imekua ngumu na siyo ya kutegemea.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom