Wanaohitaji ombeni, hizo comments hazina ukweli wowote, we are legit na tumeweka anuani za ofisi zetu, mwenye wasiwasi aje ofisini. Ukiangalia posts zetu tokea 2012 tumeweza kusaidia Watanzania zaidi ya 126 hadi sasa kupata ajira na hususani Vijana wameanzia kazi kwetu na baadhi baada ya kupata uzoefu wetu wana nafasi kubwa sehemu nyingine, mfano mdogo Mameneja 4 wa benki 3 hapa Tanzania wameanzia kazi kwetu. Kanuni yetu huji kuchukua hela bali unakuja kufanya kazi na unalipwa kulingana na unachozalisha, HAWA WANAOANDIKA HIVI YU MKINI HAWAKUMACHI MALENGO YAO NA YA KWETU. Karibuni sana japo hadi navyoandika email imejaa maombi zaidi ya 1,350.Tapeli Huyo hana lolote achaneni naye
Mechanical technician kaz ipo hukoWanaohitaji ombeni, hizo comments hazina ukweli wowote, we are legit na tumeweka anuani za ofisi zetu, mwenye wasiwasi aje ofisini. Ukiangalia posts zetu tokea 2012 tumeweza kusaidia Watanzania zaidi ya 126 hadi sasa kupata ajira na hususani Vijana wameanzia kazi kwetu na baadhi baada ya kupata uzoefu wetu wana nafasi kubwa sehemu nyingine, mfano mdogo Mameneja 4 wa benki 3 hapa Tanzania wameanzia kazi kwetu. Kanuni yetu huji kuchukua hela bali unakuja kufanya kazi na unalipwa kulingana na unachozalisha, HAWA WANAOANDIKA HIVI YU MKINI HAWAKUMACHI MALENGO YAO NA YA KWETU. Karibuni sana japo hadi navyoandika email imejaa maombi zaidi ya 1,350.
Kwaiyo waje watembeze vyombo auWanaohitaji ombeni, hizo comments hazina ukweli wowote, we are legit na tumeweka anuani za ofisi zetu, mwenye wasiwasi aje ofisini. Ukiangalia posts zetu tokea 2012 tumeweza kusaidia Watanzania zaidi ya 126 hadi sasa kupata ajira na hususani Vijana wameanzia kazi kwetu na baadhi baada ya kupata uzoefu wetu wana nafasi kubwa sehemu nyingine, mfano mdogo Mameneja 4 wa benki 3 hapa Tanzania wameanzia kazi kwetu. Kanuni yetu huji kuchukua hela bali unakuja kufanya kazi na unalipwa kulingana na unachozalisha, HAWA WANAOANDIKA HIVI YU MKINI HAWAKUMACHI MALENGO YAO NA YA KWETU. Karibuni sana japo hadi navyoandika email imejaa maombi zaidi ya 1,350.
HUYU JAMAA USIMCHAFUE KABISA... MIMI NILIWAHI KUFANYA KAZI KWAKE.Tapeli Huyo hana lolote achaneni naye
Umefungua ID mpya ili ujisifie tapeli wewe pesa yangu na muda wangu nilioutumia utanirudishia tu!HUYU JAMAA USIMCHAFUE KABISA... MIMI NILIWAHI KUFANYA KAZI KWAKE.
KATIKA MASUALA YA KAZI NI MTU SAFI SANA... HANA UMWINYI WALA UKIRITIMBA HATA KAMA YEYE NI BOSS... NI MTU WA KAZI NA MALENGO... USIPOKUWA MCHAPAKAZI, MKWELI, MWAMINIFU NA KUFIKIA MALENGO HUWEZI KUENDELEA NAE.
NA KWENYE MALIPO HANA LONGOLONGO...na ANALIPA VIZURI SANA... HUU NDIO UKWELI.
NILISHAWAHI KUFANYA KAZI SEHEMU MBALIMBALI... ILA SIJAWAHI KUENJOY KUFANYA KAZI CHINI YA BOSS KAMA HUYU JAMAA NA OFISI YAKE.
KILICHOSABABISHA NIACHE KAZI/NIACHISHWE KAZI;
1. Mimi ni mtu wa dini wa sana, wakati nafanya kazi ile nikawa nafanya utafiti wa kidini kuhusu uhalali wa kazi ile kidini(kwa upande wa dini yangu).
2. Kwahiyo baada ya kubainikiwa kidini kazi Ile kisheria ya dini yangu ningekuwa nafanya dhambi... Nikapoteza PASSION NA KUJITUMA KWENYE KAZI ILE... Ikapelekea kushindwa kufikia malengo... Na BOSS MWENYEWE ALILIONA ILE AKAONA HUYU HANIFAI(Alikuwa sahihi).
Lakini vinginevyo... NINGEENDELEA KUFANYA KAZI KWAKE MPAKA AAMUE KUFUNGA OFISI.
HII NI HAQQ... WALA SIJIPENDEKEZI ANIPE KAZI TENA(kwa sababu sasa hivi nipo busy na masuala ya kufundisha dini na ulinganizi).
Kila mtu haqq yake asidhulumiwe.
[emoji23][emoji23] kimeumanaUmefungua ID mpya ili ujisifie tapeli wewe pesa yangu na muda wangu nilioutumia utanirudishia tu!
Ndio amekutuma uje umsafishe kwa kusema uwongo, na usiye na haya unajidai mshika dini mzuri, unaleta unafki kwa kusema uliacha kazi sababu ya Imani yako, Iman gan uliyonayo alikuwa anakutuma ukajiuze au alikupa kazi gani hizo Hadi ukaachana nayeHUYU JAMAA USIMCHAFUE KABISA... MIMI NILIWAHI KUFANYA KAZI KWAKE.
KATIKA MASUALA YA KAZI NI MTU SAFI SANA... HANA UMWINYI WALA UKIRITIMBA HATA KAMA YEYE NI BOSS... NI MTU WA KAZI NA MALENGO... USIPOKUWA MCHAPAKAZI, MKWELI, MWAMINIFU NA KUFIKIA MALENGO HUWEZI KUENDELEA NAE.
NA KWENYE MALIPO HANA LONGOLONGO...na ANALIPA VIZURI SANA... HUU NDIO UKWELI.
NILISHAWAHI KUFANYA KAZI SEHEMU MBALIMBALI... ILA SIJAWAHI KUENJOY KUFANYA KAZI CHINI YA BOSS KAMA HUYU JAMAA NA OFISI YAKE.
KILICHOSABABISHA NIACHE KAZI/NIACHISHWE KAZI;
1. Mimi ni mtu wa dini wa sana, wakati nafanya kazi ile nikawa nafanya utafiti wa kidini kuhusu uhalali wa kazi ile kidini(kwa upande wa dini yangu).
2. Kwahiyo baada ya kubainikiwa kidini kazi Ile kisheria ya dini yangu ningekuwa nafanya dhambi... Nikapoteza PASSION NA KUJITUMA KWENYE KAZI ILE... Ikapelekea kushindwa kufikia malengo... Na BOSS MWENYEWE ALILIONA ILE AKAONA HUYU HANIFAI(Alikuwa sahihi).
Lakini vinginevyo... NINGEENDELEA KUFANYA KAZI KWAKE MPAKA AAMUE KUFUNGA OFISI.
HII NI HAQQ... WALA SIJIPENDEKEZI ANIPE KAZI TENA(kwa sababu sasa hivi nipo busy na masuala ya kufundisha dini na ulinganizi).
Kila mtu haqq yake asidhulumiwe.
Ukweli utasemwa hata na mawe, kama binadamu mkigoma ukweli.Umefungua ID mpya ili ujisifie tapeli wewe pesa yangu na muda wangu nilioutumia utanirudishia tu!
Ukweli utasemwa hata na mawe, kama binadamu mkigoma ukweli.[emoji23][emoji23] kimeumana
Ukweli utasemwa hata na mawe, kama binadamu mkigoma ukweli.Ndio amekutuma uje umsafishe kwa kusema uwongo, na usiye na haya unajidai mshika dini mzuri, unaleta unafki kwa kusema uliacha kazi sababu ya Imani yako, Iman gan uliyonayo alikuwa anakutuma ukajiuze au alikupa kazi gani hizo Hadi ukaachana naye
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Duh ! Halafu hii tabia ipo sana ya hizi kampuni uchwara kuchukua watu hasa graduates na kuwahadaa kufanya kazi bila malipo like slaves at the end of the day hata hizo kazi wanazoahidiwa hamna , kuna abundance ya slave labour nchi hii ndio maana hata makampuni uchwara haya sikuhizi hayaajiri ,ni mwendo wa slave labour . Working without paymentsHuyu namfahamu huyu jamaa akikuajili ukkaa Kwa ofisi yake miezi mitatu utakua umejitahidi sana Mimi nilifanya kazi kwake hakunilipa miezi 5 halipi mishahara anadhulumu utapeli pitia nyuzi zake ana high job turn over ya staff katangaza kazi zaidi ya mara 62 ni mwizi sana nashangaa mpaka Leo jamii forum mnaruhusu post zake humu