mkulima maskini
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 254
- 50
ukiwa na master ni added advantage kama unadegree apply tu.
mi nikifika kwenye kusubmit application haionyesh jibu lolote au nifanyaje msaada waungwana
Rudi kwenye email addres yako huwa wanatuma sms kama maombi yako yameishasajiliwa
mimi nikimaliza kujaza peji mfano qualification nikisave inakoma halafu peji inafutika kabisa nimejaribu mpaka nimechoka wadau msaada kwa waliofanikiwa kuapply
Nimejaribu kuapply TRA ila portal yao inasumbua sana, najaza nikitaka ku save inagoma alafu paji inafutika kabisa Najua wapo waliofanikiwa kuapply humu tujuzane hizi nafasi sitaki kuzikosa.
TRA huwa hawaweki attachments ya vyeti pia ukishasubmit ndio inakuletea reference after kutuma. ..vyeti utakuja navyo kwenye interviews