Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
- Thread starter
-
- #41
Unajua hii model ya kukabidhiana walitaka kuitumia JK na EL wakati huo, bahati mbaya/nzuri wakakosea taratibu
Unajua hii model ya kukabidhiana walitaka kuitumia JK na EL wakati huo, bahati mbaya/nzuri wakakosea taratibu
Hivi wakuu, zile vurugu za waandamanaji wakati wa kuapishwa Putin zimekaaje, tunaweza kuzihusisha na hujuma dhidi y Putin kutoka nchi za nje ?
kuna maandamano bado huko moscow sema hayapewi coverage kabisa.
hawa jamaa ni school mate wote walisoma st petersburg ...
Na watanzania walisharidhika wakabidhiane.Unajua hii model ya kukabidhiana walitaka kuitumia JK na EL wakati huo, bahati mbaya/nzuri wakakosea taratibu
When are we going to have our own Putin?
Saint [QUOTE said:Ivuga;3878116]
May 8, 2012
Moscow Riot Police detaininig participant of an unsanctioned peace campaign protesting Vladimir Putin's return to Presidency.
Photo: Vladimir Astapkovich, RIA Novosti
source:https://www.facebook.com/RiaNovosti
Kumbe kuna maandamano ila ya kimya kimay huko kumpinga jamaa
Mi nadhani mpaka ujue kuna maandamano Russia ni kuwa imepewa coverage ya kutosha.
Vyombo vya habari vya Europe na US vinajitahidi kupopularize kila activity inayoleta bad image on Kremlin.
Hata watu kumi wakiandamana Moscow CNN, ABC zitaonyesha.
Haya maandamano bila shaka yanakuwa sponsored na US and alies.
Putin and Medvedev on ski vacation.Do they share many things in common as they protray in the pictures?
Putin na Medvedev wanatisha,'wanarotate' tu...
halaf wote ex-KGB