MSHAURI_WA_NCHI
Senior Member
- Nov 10, 2015
- 139
- 73
Inasikitisha sana Tanzania kuwa na watu hatari sana wanaozusha mambo ya kuhatarisha Usalama wa taifa letu. Nakumbuka baadhi ya uzushi ni pamoja na:-
1. CDF Mwamunyange kalishwa sumu.
2. Kikwete ameamua kumpa madaraka mdogowe Benard Membe.
3. Dr. Dau NSSF kaifilisi nchi kwa mabilioni na kuinunua Chelsea.
4. Escrow ni fedha za umma.
5. CCM kuachia madaraka ZBR na kumpa Seif.
5. Magufuli anavunja haki za binadamu...
Namengineo mengi...
Je tutafika?
Tafakari chukua hatua...