Uzushi kuhusu walimu kushonewa sare

Sidhani kama Sare ndio kipaumbele cha Walimu.
 
SARE ni nzuri,itasaidia kuondoa hisia za unyanyampaa wa kimavazi kuambiwa unavaa nguo hiyohiyo,kauka nikuvae wiki nzima,wakati wenzako wanabadilisha kila siku.
 
Ubaguzi tu kwa walimu, mbona madaktari, manesi, wanajeshi, polisi, migambo, mapilot, wafanyakazi wa benki, bot, zimamoto, uhamiaji, Tanesco, wanavaa kwanini sisi wanatukatalia kuvaa? Tunataka sare.
Huna tofauti na mtu anayetaka tanzania tuhalalishe uuzwaji wa bangi sababu eti nchi nyingine wanaruhusu
 
SARE ni nzuri,itasaidia kuondoa hisia za unyanyampaa wa kimavazi kuambiwa unavaa nguo hiyohiyo,kauka nikuvae wiki nzima,wakati wenzako wanabadilisha kila siku.
Unaonaje hizo pesa za sare serikali ikanunua madawati shuleni??madai ya msingi ya walimu ni sare??
 
mbona walimu mwaka huu wanaongelewa saana ukiona hivyo ujue ukombozi umekaribia, kilio chao kimefika mwisho, nawapenda walimu, nawachukia saana wanaonzisha mada za kuwakebehi au kuwatania walimu
 
Ubaguzi tu kwa walimu, mbona madaktari, manesi, wanajeshi, polisi, migambo, mapilot, wafanyakazi wa benki, bot, zimamoto, uhamiaji, Tanesco, wanavaa kwanini sisi wanatukatalia kuvaa? Tunataka sare.
vaa mwenyewe aisee

usilazimishe wengine
 
Ubaguzi tu kwa walimu, mbona madaktari, manesi, wanajeshi, polisi, migambo, mapilot, wafanyakazi wa benki, bot, zimamoto, uhamiaji, Tanesco, wanavaa kwanini sisi wanatukatalia kuvaa? Tunataka sare.

hivi madaktari wana sare??? sare zao ni zipi? ninachojua dk hana sare ila huwa anatakiwa kuvaa lile koti akifika kazini.
 
Si kweli kwamba ni ya kudhalilisha....Nchi za wenzetu mfano Mozambique walimu wanavaa overcoat km za madaktari na kwa kweli zinaongeza heshima.
Mbona Libermann pre and primary walimu na wafanyakazi wote wanava sare? Hakuna shida hapo sema kwa huku serikalin wamalize kwanza matatizo ya msingi ndo waanze mbwembwe.
 
Kawaida lakini kuwa na sare za kazi... Ofisi na taasisi nyingi wana sare ambazo huvaliwa siku za ijumaa...
 
Ahsante sana kwa kanusho hili maana walimu wengi wakichanganyikiwa
 
Ndio maana mnadhalaulika!

Sasa hilo tamko unadhani linatoka wizarani au ni wale wale mnaandaa kujifajiri?

Hiyo Nembo unaona ilivyochomekwa?
 
Hivi kuna "kitengo cha habari serikali ni?". wajinga ndio waliwao ha ha ha
 
Sisi watanzania kwa uzushi bana[emoji51] [emoji51] [emoji51]
 
Safi sana
Maana watu wamekosa habari
Wao nikuumua umua zisizo na ukweli
 
Hili kanusho ni la uongo.. Tupe source yake.. Nembo yenyewe imefifia inaonekana watu walii google tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…