Uzuri wa kuwepo ICC

Uzuri wa kuwepo ICC

Bado Bado

Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
39
Reaction score
27
Kwa bahati nzuri uwepo wa Maafisa Wa ICC katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 Tanzania, wakiangalia kwa karibu mno wavunjaji wa haki za Binaadamu ili kuweza kushitakiwa katika Mahakama za Kimataifa hii ni ishara mbaya kwa afisa yoyote wa vyombo vya usalama atakaejaribu kutii amri za uvunjaji wa haki za binaadamu kutoka kwa Viongozi wenye uchu binafsi wa Madaraka, na ishara njema kwa Wapenda mabadiliko.
 
ccm wamuaibishe KAGAME kwa kukubali kufanya uchaguzi wa kidemokrasia
 
Kwa bahati nzuri uwepo wa Maafisa Wa ICC katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 Tanzania, wakiangalia kwa karibu mno wavunjaji wa haki za Binaadamu ili kuweza kushitakiwa katika Mahakama za Kimataifa hii ni ishara mbaya kwa afisa yoyote wa vyombo vya usalama atakaejaribu kutii amri za uvunjaji wa haki za binaadamu kutoka kwa Viongozi wenye uchu binafsi wa Madaraka, na ishara njema kwa Wapenda mabadiliko.
Kamuulize morsi wa egypt. Kahukumiwa kunyongwa. Tatizo lenu nyie ukawa mmejiapiza kuanzisha mauji iwapo mtashindwa. Na mkishinda mmejiapiza mtaangamiza dini zingine na watu wake ispokuwa ulutheri wenu. Ndiyo maana tumewakataa. Mkigomea matokeo na kungia mitaani polisi watawatandika pamoja na icc kuwepo. Mkiwa wabishi sana jeshi litawachapa na kuwauwa wote mnaotaka kutishia amani yetu, na kweli wote mtakufa, maana amani kwanza siasa baadaye.
 
Stupidity on you.Umesikia wapi ukawa wanaongea kuhusu kuangamiza dini zingine hebu fikiria kabla ya kuongea
 
Muda wote wacha kuwa na akili finyu na siasa za udini hala ni mabadiliko tu
 
Kamuulize morsi wa egypt. Kahukumiwa kunyongwa. Tatizo lenu nyie ukawa mmejiapiza kuanzisha mauji iwapo mtashindwa. Na mkishinda mmejiapiza mtaangamiza dini zingine na watu wake ispokuwa ulutheri wenu. Ndiyo maana tumewakataa. Mkigomea matokeo na kungia mitaani polisi watawatandika pamoja na icc kuwepo. Mkiwa wabishi sana jeshi litawachapa na kuwauwa wote mnaotaka kutishia amani yetu, na kweli wote mtakufa, maana amani kwanza siasa baadaye.

Eti filikunjombe amekufa umebaki wewe,hivi hii dunia nani anaiongoza?
 
Kamuulize morsi wa egypt. Kahukumiwa kunyongwa. Tatizo lenu nyie ukawa mmejiapiza kuanzisha mauji iwapo mtashindwa. Na mkishinda mmejiapiza mtaangamiza dini zingine na watu wake ispokuwa ulutheri wenu. Ndiyo maana tumewakataa. Mkigomea matokeo na kungia mitaani polisi watawatandika pamoja na icc kuwepo. Mkiwa wabishi sana jeshi litawachapa na kuwauwa wote mnaotaka kutishia amani yetu, na kweli wote mtakufa, maana amani kwanza siasa baadaye.
Unaitafuta ICC kwa uchochezi haya tusubiri
 
Back
Top Bottom